Mwanariadha wa Tanzania, Alphonce Felix Simbu ameshika nafasi ya tano katika mbio ndefu za wanaume kwenye michezo ya Olimpiki.
Tanzania ambayo haikupata matokeo mazuri wala kupata medali katika michezo hiyo ambayo ilifungwa jana mjini Rio de Janeiro nchini Brazil, angalau inaweza kupata tabasamu kutokana na matokeo hayo.
Michezo ya Olimpiki ya mwaka huu ilifunguliwa rasmi Agosti 5, mwaka huu na kufungwa jana Agosti 22 na kushuhudia Marekani ikitawala kwa kupata medali nyingi.
Mataifa yaliyoongoza kwa medali katika michezo hiyo ni
Dhahabu fedha shaba jumla
1. Marekani 43 37 37 117
2. Uingereza 27 22 17 66
3. China 26 18 24 68
4. Russia 17 17 18 52
5. Ujerumani 17 10 14 41
6. Japan 12 8 21 41
7. Ufaransa 9 17 14 40
Cheki oroadha ya 10 bora ya Mataifa yaliyofanya makubwa kwenye Olimpiki:
0 comments:
Post a Comment