Thursday, August 11, 2016

Maji ya bwawa hilo yalibadilika rangi kutokana na kuzidi kwa kiwango cha Alkalini
Waandaaji wa michuano ya Rio wamesema kuwa Bwawa la kuogelea litarudi kwenye rangi yake ya awali baadaye hii leo, baada ya kubadilika na kuwa na rangi ya kijani siku ya jana wakati michuano hiyo ikiendelea.
BBCSWAHILI wamesema kwa mujibu taarifa ya yake maji ya bwawa hilo yalibadilika rangi kutokana na kuzidi kwa kiwango cha Alkalini.
Amesema kuwa wapimaji wa maji hawakujali wingi wa waogeleaji kama wataathiriwa na kiwango cha PH, na Chlorine.
Wapimaji wa maji hawakujali wingi wa waogeleaji kama wataathiriwa na kiwango cha PH na Chlorine
Wapimaji wa maji hawakujali wingi wa waogeleaji kama wataathiriwa na kiwango cha PH na Chlorine
Washindanaji walisema ilikuwa vigumu kuwaona wenzao kwenye maji ya kijani.
Waandaaji wa Michuano ya Rio wamesema maji hayo hayana athari yoyote kiafya.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video