Friday, August 12, 2016

SHIRIKISHO soka barani Afrika Afrika (CAF) kwa mara nyingine tena limepitisha usajili wa mlinzi mpua wa kulia wa Yanga SC, Hassan Kessy aliyesajiliwa mwishoni mwa Msimbu uliopita kutoka kwa watani wao wa jadi, Simba SC.

Katika taarifa yake kwa vyombo vya Habari iliyochapishwa kwenye Tovuti rasmi ya CAF.  usiku wa kuamkia leo, CAF imetoa orodha ya wachezaji wote waliopitishwa katika usajili mdogo wa hatua ya makundi ya michuano ya Afrika – Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho.

Na katika Kombe la Shirikisho wachezaji wote wapya watano wa Yanga wamepitishwa na kupewa leseni za kucheza mechi za Kundi A, zinazoelekea ukingoni ikiwemo ya kesho ambayo Yanga watacheza na MO Bejaia ya Algeria uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.

Wanandinga hao ni  Obrey Chola Chirwa, Juma Hassan Mahadhi, Benno David Kakolanya, Hassan Khamis Ramadhan ‘Kessy’ na Vicent Andrew Chikupe.
Somo orodha ya wa chezaji wote waliopitishwa na CAF katika kombe la Shirikisho:



0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video