Saturday, August 6, 2016

Wanachama wa klabu ya Yanga kwa kauli moja, wamewavua uanachama wajumbe watatu wa kamati ya Utendaji Ayubu Nyenzi, Hashim Abdallah na Salumu Mkemi baada ya kuelezwa kwenda kinyume na miiko ya timu hiyo.
Tukio hilo limekuja kufuatia Mwenyekiti wa timu hiyo, Yusuf Manji kuwaambia wanachama waliohudhuria kwenye uliofanyika Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam, kwamba hana imani nao.
Ikumbukwe tu takriban siku mbili zilizopita moja wa wajumbe hao walifutwa uanachama Salumu Mkemi alisikika katika radio ya EFM akiuponda uongozi wa Manji na kudai kuwa mkutano huu mkuu wa leo ni batili kutokana na kukiukwa kwa katiba ya Yanga.
Hata hivyo,  Manji amemsamehe mjumbe Siza Lyimo ambaye aliomba radhi mbele ya wanachama kufuatia naye kuhisiwa kama moja ya wanachama wasaliti.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video