Thursday, August 18, 2016

Yanga ilipata ushindi wake wa kwanza kwenye hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho dhidi ya MO Bejaia baada ya mfululizo wa matokeo yasiyoridhisha.
Kwenye mchezo huo walimkosa mshambuliaji wao tegemezi Mzimbabwe Donald Dombo Ngoma ambaye alikuwa akitumikia adhabu yake ya kadi ya njano
Ngoma ataukosa tena mchezo wa mwisho na wa kukamilisha ratiba kwa Yanga dhidi ya TP Mazembe kutokana na kutumikia adhabu yake ya kadi za njano kwa mechi ya pili mfululizo kwa mujibu wa kanuni za CAF.
Adhabu za kukosa mechi mbili imethibitishwa na CAF juu ya Ngoma kufuatia kufikisha idadi ya kadi nne za njano katika mashindano ya Afrika mwaka huu.
Kwa upande beki wa kati Kelvin Yondani, pia ataukosa mchezo huo utakaochezwa siku ya Jumanne jijini Lubumbashi kutona na sababu hiyo hiyo iliyotolewa kwa Ngoma.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video