Monday, August 8, 2016

Claudio Ranieri amesisitiza kwamba Leicester City wana lengo la kupigani pointi 40 tu msimu huu ili kufanikiwa kumaliza msimu licha ya kuwa ndio mabingwa watetezi.

"Pointi arobaini [ndio malengo yetu]," aliwaambia wanahabari baada ya mchezo wa Ngao ya Jamii ambapo walifungwa 2-1 Manchester United.

"Msicheke! naanza na falsafa ileile, na mfumo uleule, ndivyo ninavyoweza kusema.

"Tulichokipata msimu uliopita kilikuwa kitu kizuri sana, lakini kwa sasa, pointi 40 ndiyo malengo yetu, halafu mambo mengine yanafuata."

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video