Monday, August 29, 2016

PICHANI:Pluijm na Dida wakiwa hospitali kumjulia hali mzee Bon Munish aliyekuwa amelazwa hospitali ya Ocean Road, marehem alikuwa akisumbuliwa na kansa.

MWILI wa marehemu Boniventure Ludovick Munishi Baba mzazi wa Deo Munishi 'Dida' utasafirishwa siku ya jumatano kuelekea Moshi Manushi na atazikwa huko siku ya Alhamisi, 
Mwili utaagwa katika kanisa katoliki Temeke Mikoroshini siku ya Jumatano.

Ukurasa maarufu kwenye ukurasa wa facebook wa Naipenda YANGA umeandika kuwa: " kwa yeyote anayekuja msibani ukifika Temeke Mwembe yanga ulizia Bar ya Bon M au msikiti wa Bomeza hapo ndipo msiba ulipo"

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video