Monday, August 15, 2016

Inaonekana kwamba Jose Mourinho siku zote atabaki kuwa na mahusiano tete na washabiki wa Chelsea

Mourinho anaweza kuwa mmoja wa watu walioipa mafanikio klabu hiyo kwenye vipindi vyote viwili aliitumikia timu hiyo, lakini kwa sasa ni meneja wa Manchester United baada ya kutimuliwa klabuni hapo msimu uliopita.

Washabiki wa Chelsea watakuwa wanamshukuru sana Mourinho kutokana na mafanikio makubwa aliyowapa, lakini ghafla amekuwa kocha wa wapinzani wakubwa wa Chelsea ambao ni Manchester United.

Jose Mourinho ameonekana akifura kwenye mtandao wa Instagram
Mtoto wa Jose Mourinho anayeitwa José Mario Mourinho, anaichezea klabu ya vijana chini ya 18 ya Fulham, na katika hivi karibuni amepokea vijembe kutoka kwa mashabiki wa Chelsea.

Fulham ni moja ya wapinzani wa jadi wa Chelsea kutokana na maskani yake kuwa jijini London, na wamekuwa wakichukiana kwa namna moja au nyingine mara kadhaa.

Juzi Jumamosi, José Mario Mourinho alicheza dakika 45 wakati timu yake ya Fulham chini ya miaka 18 ilipoiadhibu Chelsea magoli 2-1.

Mtoto huyo wa Mourinho alipost picha hapo chini na kuweka maelezo: “Nimefurahi sana leo! tumeifunga Chelsea 2-1, nimecheza kipindi cha pili, sijaruhusu goli, najivunia sana hili, nimeokoa michomo ya kutosha! #COYW”.

Hali hiyo iliwaudhi sana washabiki wa Chelsea kwenye mtandao huo wa Instagram ambapo waliamua kuandika maneno ya kejeli kwa Mourinho na mwanawe.

Kwenye posti hiyo ya mwanawe, Mourinho alipost vikatuni vya ngamia kuwadhihaki  mashabiki wa Chelsea na kuongezea suala la matokeo.

Lakini Mourinho ameonekana kujutia alichokifanya na kuamua kuomba radhi kwa washabiki hao wa Chelsea kwa madai kwamba posti yake iliwahusu wale wote waliomkejeli mwanawe.



Hapa ameomba radhi
Man United boss Jose Mourinho apologises to Chelsea fans on Instagram
Man United boss Jose Mourinho apologises to Chelsea fans on Instagram

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video