Monday, August 15, 2016

Baada ya ushindi wao katika mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya England, kocha wa Manchester United Jose Mourinho amewataja makinda wanaopenda kukaa ikiwa ni pamoja na kula naye nyota wa timu hiyo Zlatan Ibrahimovic.
Luke Shawa na Marcus Rashford ni miongoni mwa makinda hao.
“Kitu cha kwanza ninachoweza kuwaambia kwenye meza yake (Zlatan) wakati wa kifungua kinywa anazungukwa na wachezaji wengi vijana,” Mourinho alinukuliwa alipozungumza na gazeti la The Independent. “Luke Shaw, Marcus Rashford, hawa ndio hasa wachezaji wanaopenda kukaa naye na anajua nini anaweza kuwapa.”

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video