Tuesday, August 9, 2016

Wachezaji wa timu ya MO Bejaia wakipata mawaidha kutoka kwa makocha wao wakati wakifanya mazoezi kwenye Uwanja wa Boko Veterani jijini Dar es Salaam.
 WAPINZANI wa Yanga katika mchezo ujao Michuano ya Kombe la Shirikisho Mouloudia Olympique Bejaia (MO Bejaia) ya Algeria tayari wamewasili nchini kwa ajili ya mchezo wao utakaofanyika Agosti 13 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Waalgeria hao jioni ya leo wamefanya mazoezi kwenye Uwanja wa Boko Veterani, Dar es Salaam kujiandaa na mchezo dhidi ya wenyeji wao Yanga.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video