Per Mertesacker ametajwa kuwa nahodha mpya wa timu ya Arsenal baada ya kuondoka kwa Mikel Arteta ambaye amestaafu soka na sasa kuwa kocha msadizi wa timu ya Man City.
Mertesacker ameteuliwa kuwa nahodha katika kipindi hiki ambacho yuko nje akiuguza majeraha yake.
Atasaidiwa na Santi Cazorla, Laurent Koscielny na pia Petr Cech kama wote hao watakosekana.
0 comments:
Post a Comment