Friday, August 19, 2016

Baada ya awali kuwepo na hatihati ya kutowatumia washambuliaji Laudit Mavugo na Frederic Blagnon, hatimaye Simba imekamilisha uhamisho wao.

Hati za uhamisho wa kimataifa ( ITC ) zimetua nchini leo mchana kutoka katika mashirikisho ya soka ya Burundi na Ivory Coast.

Blagnon Fredric Goue ametokea klabu ya Africa Sports ambao ni wapinzani wa jadi wa ASEC Mimosas ya nchini kwao, Ivory Coast.

Ujio wa hati hizo unamaliza utata wa uhamisho wa Mavugo ambaye kulikuwa na mvutano kidogo kutoka kwa klabu ya Vital’o.

Credit: Soka360

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video