Mh.Yusuf Manji Mwenyekiti wa Young Africans Sports Club (Yanga) amezungumza na idara ya habari na mawasiliano,Manji amesema uongozi unaendelea kutambua Jerry Muro bado ni Mkuu wa idara ya habari na Mawasiliano yanga na anaendelea kufanya kazi yake kama kawaida.
"Kama taarifa tumesikia kwenye magazeti na redio,kweli taasisi kama Yanga ,msemaji wake anasimamishwa kwa njia hiyo?.
"Hao waliomsimamisha pia ni taasisi,vip wafanye hivyo.Yanga tunawezaje kuamini hilo?Muro bado yuko kazini na anaendelea na shughuli zake zakawaida ,"alisema Manji.
Imetolewa na Idara ya habari na mawasiliano.
01/08/2016.
0 comments:
Post a Comment