Saturday, August 6, 2016

Baada ya Mohammed Dewji 'Mo' kutangaza ofa ya kuinunua Simba na kumiliki hisa kwa asilimia 51, leo Mwenyekiti wa Yanga Yusuf Manji amekabidhiwa kuiendesha Yanga kwa miaka kumi kuanzia leo baada ya kupewa idhini na wanachama wa timu hiyo.
Maamuzi hayo yamefikiwa na wanachama waliokutana katika kikao cha dharura kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Diamond jubilee jijini Dar es Salaam.
Manji, ambaye amekuwa msaada mkubwa kwa timu hiyo tangu achaguliwa kuwa mwenyekiti wa timu hiyo, katika kipindi cha miaka 10 atakuwa akichukua asilimia 75 ya mapato yote ya timu, huku asilimia 25 iliyosalia ikienda kwa wanachama wa klabu hiyo.
Kuhusu suala la nembo ya klabu ya klabu hiyo, Manji amesema pia itakuwa chini yake.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video