Saturday, August 6, 2016

Manchester City bado wanaendelea kujiimarisha kuelekea msimu mpya wa ligi na mashindano mengine baada ya kufanikiwa kumsajili Mkolombia Marlos Moreno
"Ni jambo la kipekee sana na natumaini kupitia klabu hii nitazidi kujengeka zaidi na hakika nitafanya kila liwezekanalo kuhakikisha naisaidia timu.

“Pep Guardiola ni moja ya makocha bora kabisa kwa sasa ulimwenguni. Nadhani anapenda sana vijana wadogo na anaweza kuimarisha viwango vya wachezaji wachanga vizuri zaidi hasa kiufundi. Itakuwa ni heshima kubwa kwangukufanya naye kazi na kuwa sehemu ya timu hii kubwa kabisa."

Moreno anakuwa mchezaji wa saba kujiunga na City kwenye dirisha hili la kiangazi, kufuatia ujuio wa wachezaji wengi kama Leroy Sane, Ilkay Gundogan, Nolito, Oleksandr Zinchenko, Gabriel Jesus na Aaron Mooy

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video