Tuesday, August 2, 2016

 Pep Gurdiola amefanikiwa kumsajili winga wa Schalke 04 ya Ujerumani Leroy Sane kwa ada ya paundi mil 37. Amesaini mkataba wa miaka mitano.
“Ana kipaji cha aina yake, ni mchezaji ambaye nafikiri mashabiki wetu watafuahi sana kumuangalia,” amesema Pep
 “Ana uwezo mkubwa sana kiufundi, anajiamini akiwa na mpira, na kuna mengi ya kutamani kwa namna anavvyocheza mpira. Ana kasi, anatengeneza nafasi kwa wenzake, anajituma kwa ajili ya timu na vile vile anafunga. Pia mara zote amekuwa na mtazamo chanya na kwa hakika atafiti vizuri kwenye mfumo wetu.
"Kwa umri wake wa miaka 20, bado ana mengi ya kujifunza lakini pia yuko kwenye kikosi cha timu ya taifa na nadhani atakuwa ni hazina kubwa ya klabu. Tuna furaha kubwa kuona ameungana nasi."
Sane anakuwa mchezaji wa tano kusajiliwa na Guardiola kwenye dirisha hili la usajili, kufuatia ujio wa Ilkay Gundogan, Nolito, Oleksandr Zinchenko na  Aaron Mooy.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video