Saturday, August 13, 2016

MANCHESTER CITY chini ya kocha wake mpya, Pep Guardiola imeanza Ligi Kuu ya Soka ya England kwa ushindi wa 2-1 dhidi ya Sunderland Uwanjani kwake Etihad.
Mapema dakika ya 4, Sergio Aguero alifungua akaunti ya mabao msimu huu kwa kuipachikia Man City bao la kuongoza kwa mkwaju wa Penati, lakini Jermain Defoe akasawazisha dakika ya 71.
Dakika ya 87 Patrick McNair alijifunga na kuwafanya Manchester City wachomoze wababe kwa bao hilo la pili ambalo ni kama zawadi kwa Gaurdiola.
Kipigo hicho ni mwanzo mbaya kwa kocha mpya wa Sunderland, David Moyes.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video