Sunday, August 14, 2016

Manchester United wameanza kwa kishindo Ligi Kuu nchini England baada ya kuifumua Bournemouth mabao 3-1, mchezo uliopigwa kweye dimba la  Dean Court maskani mwa Bournemouth.
Unite walipata magoli yao kupitia kwa Juan Mata dakika ya 40, Wayne Rooney dakika ya 59 na Zlatan Ibrahimovic dakika ya 64, huku wenyeji Bournemouth wao wakipata bao lao kupitia kwa Adam Smith dakika ya 69.
Huu unakuwa mwanzo mzuri kwa United chini ya kocha mpya Jose Mourinho na mshambuliaji mpya Zlatan Ibrahimovic.
Ikumbukwe kwamba Ibrahimovic tangu asajiliwe United ameacheza michezo mitatu, mmoja wa kirafiki dhidi ya Galatasaray, mwingine wa Ngao ya Jamii dhidi ya Leicester na huu wa leo wa ligi dhidi ya Bournemouth na kufanikiwa kufunga goli katika michezo yote mitatu.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video