Thursday, August 25, 2016

LIGI YA MABINGWA ULAYA

Raundi ya Mwisho ya Mchujo

Matokeo:

Jumatano 24 Agosti 2016

Kwenye mabano ni jumla ya magoli baada ya michezo yote miwili

Apoel Nicosia 1 FC Copenhagen 1 (1-2)

Borussia Monchengladbach 6 BSC Young Boys 1 (9-2)

FC RB Salzburg 1 Dinamo Zagreb 2 (2-3, Baada ya Dakika 120)

FC Rostov 4 Ajax 1 (5-2)

Man City 1 Steaua Bucharest 0 (6-0)

Mechi za Marudiano za Raundi ya Mwisho ya Mchujo ya UEFA CHAMPIONZ LIGI, UCL, zimekamilika Jana na wapya Rostov pamoja na Manchester City, København, Dinamo Zagreb na Mönchengladbach wameshinda na kufuzu kutinga Hatua ya Makundi.

Timu 5 nyingine zilifuzu Juziambazo ni Celtic ya Scotland, Legia Warsaw ya Poland, AS Monaco ya France, FC Porto ya Ureno na Ludogorets Razgrad ya Bulgaria.

Washindi hao 10 wa Raundi hii wataunganishwa na Timu 22 zilizofuzu moja kwa moja, wakiwemo Mabingwa Watetezi Real Madrid, kujumuishwa kwenye Droo ya Makundi itakayofanyika Leo Alhamisi Agosti 25 huko Monaco.

Timu 10 zilizobwagwa Raundi hii zitatupwa UEFA EUROPA LIGI na kuingizwa kwenye Droo ya Makundi.

Hapo Jana, City, wakiwa kwao Etihad na wakiwa wameshinda 5-0 katika Mechi ya Kwanza, walishinda 1-0 kwa Bao la Fabian Delph na kujumuika na wenzao wa England Leicester City, Arsenal na Tottenham kwenye Droo ya Makundi.

UCL 2016/17

KUANZIA Hatua ya Makundi [Droo kufanyika Agosti 25]:

Chungu Na 1 (Mabingwa Watetezi na Timu 7 toka Nchi 7 za juu kwa Ubora Ulaya]

Real Madrid (ESP, Mabingwa)

Barcelona (ESP)

Leicester City (ENG)

Bayern München (GER)

Juventus (ITA)

Benfica (POR)

Paris Saint-Germain (FRA)

CSKA Moskva (RUS)

Vyungu Vingine

Atlético Madrid (ESP)

Borussia Dortmund (GER)

Arsenal (ENG)

Sevilla (ESP)

Napoli (ITA)

Bayer Leverkusen (GER)

Basel (SUI)

Tottenham Hotspur (ENG)

Dynamo Kyiv (UKR)

Lyon (FRA)

PSV Eindhoven (NED)

Sporting CP (POR)

Club Brugge (BEL)

Beşiktaş (TUR)

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video