MAKUNDI EUROPA KILA KITU WAZI, ANGALIA KUNDO LA GENK YA SAMATTA Baada ya jana Mbwana Samatta kuisaidia Genk kufuzu hatua ya makundi ya Europa League, leo tayari makundi yamepangwa huku Genk ikiwa katika Kundi F pamoja na timu za Athletic Bilbao, Rapid Vienna na Sassuolo . Makundi yote yapo kama ifuatavyo…
0 comments:
Post a Comment