Wednesday, August 17, 2016

Kukosekana kwa mabeki Kelvin Yondan na Nadir Haroub Ally 'Cannavaro' kumemfanya kocha wa Yanga Hans van der Pluijm kumuanzisha Mbuyu Twite kama beki wa kati huku Said Juma Makapu akicheza kama kiungo mkabaji.
Hassan Kessy anacheza kuchukua nafasi ya Juma Abdul anayeuguza maumivu ya kifundo cha mguu, huku Juma Mahadhi akichukua nafasi ya Simon Msuva anayeanzia benchi
Deogratius Munishi, Haji Mwinyi, Hassan Kessy, Mbuyu Twite, Vincent Bossou, said Juma, Haruna Niyonzima, Juma Mahadhi, Thaban Kamusoko, Amissi Tambwe, Donald Ngoma.
Akiba: Benno Kakolanya, Oscar Joshua, Deus Kaseke, Simon Msuva, Malimi Busungu, Matheo Anthony, Pato Ngonyani.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video