Friday, August 19, 2016

Hassan Kessy (kushoto) ameruhisiwa kucheza Yanga
Kamati ya Sheria na Hadhi ya wachezaji imepitisha usajili wa timu za Ligi Kuu kwa msimu mpya unaoanza kutimua vumbi wikiendi.
Kamati hio pia imeidhinisha jina la mchezaji Hassan Kessy kuichezea Young African kwa mujibu wa taarifa rasmi ya Afisa Habari wa TFF, Alfred Lucas aliyoitoa leo.
Sasa ni wazi Kessy anaweza kutumiwa na Yanga hata kwenye mechi za Kimataifa baada ya kuwa na hofu ya kutomtumia kutokana na Simba kudai amevunja mkataba wao.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video