Tuesday, August 9, 2016

Luke Shaw (kulia) akiwa na Zlatan Ibrahimovic wakisherehekea ushindi wa Ngao ya Jamii baada ya kuwafunga Leicester City mabao 2-1
Luke Shaw amesema kwamba ujio wa Paul Pogba kunako klabu ya Manchester United kumeleta shamrashamra kubwa sana kwa wachezaji wa klabu hiyo.

“Sisi kama wachezaji tulikuwa tuiusubiri kwa hamu ujio wake na kuja kwake ni jambo zuri kwetu.

"Ni mchezaji mwingine ambaye anakuja kuongeza ubora wa kikosi na sasa kutakuwa na ushindani mkubwa sana wa namba kwenye timu.

"Na hilo ndilo linalotakiwa kwenye klabu kubwa kama Manchester United ili kutusaidia kushinda mataji mengi ipasavyo kama tulivyoanza dhid ya Leicester.

“Kila kitu mazoezini kinaenda sawa. Kila mchezaji anaonekana kuwa na furaha kubwa na ujio wa Pogba unazidi kuongeza furaha yetu kwani tunaamini kikosi kitazidi kuwa imara maradufu.”

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video