Majogoo wa Jiji, Liverpool wamemaliza ziara yao nchini Marekani kwa kuambulia kipigo cha 2-1 dhidi ya AS Roma ya Italia katika mechi ya kirafiki iliyochezwa mapema leo asubuhi.
DONDOO ZA MECHI:
- Mshambuliaji wa zamani wa Manchester City, Edin Dzeko (dakika ya 30) na nyota mwingine wa zamani wa Chelsea, Chelsea, Mohamed Salah (Dakika ya 63) waliifungia Roma.
- Sheyi Ojo aliipachikia bao la kufutia machozi Liverpool (Dakika ya 45).
- Liverpool watakabiliana na Barcelona Jumamosi ya Juma hili katika uwanja wa Wembley, kabla ya kukamilisha maandalizi yao ya msimu mpya nchini Ujerumani kwa kucheza na klabu ya Mainz.
Kikosi cha AS ROMA (4-3-3): Alisson; Jesus, Manolas (Gyomber 75mins), Emerson (Gerson 62mins), Parades; Nainggolan, Strootman (Rui Mario 75mins), Salah; Florenzi, Dzeko (Totti 64mins), El Shaaraway
GOALS: Dzeko (29), Salah (62)
Kikosi cha LIVERPOOL (4-2-3-1): Manninger (Mignolet 46mins); Clyne (Alexander-Arnold 46mins), Lovren (Stewart 46mins), Klavan (Wisdom 46mins), Milner (Moreno 46mins); Can (Henderson 46mins), Wijnaldum (Brannagan 70mins): Ojo (Markovic 46mins), Firmino (Lallana 46mins), Mane (Coutinho 46mins): Sturridge (Ings 46mins)
GOALS: Ojo (45)
0 comments:
Post a Comment