Wednesday, August 31, 2016

Usajili wa Shkodran Mustafi kujiunga na Arsenal Jana usiku kwa dau la pauni milioni 35 akitokea Valencia kumesababisha rekodi  mpya ya timu za Ligi kuu ya Soka ya England  kufikisha Pauni Bilioni 1 katika soko la usajili la majira haya ya kiangazi.
EPL imevuka kiwango cha pauni milioni 901 walichotumia msimu uliopita (2015).
Manchester City ndio inaongoza kutumia fedha nyingi ambazo ni pauni milioni 168.2 wakifuatiwa na Manchester United waliotumia pauni milioni 145, wakati Meneja wa Arsenal, Arsene Wenger ametumia pauni milioni 96.
Tazama kiashi cha fedha ambacho ligi kuu ya England imetumia kwenye usajili kutoka mwaka 2011.


0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video