Mshambuliaji wa zamani wa Yanga ambaye kwa sasa anakipiga kunako klabu ya Mwadui FC ya Shinyanga Paul Nonga, leo ametimiza miaka kadhaa ya tangu kuzaliwa kwake.
Kama ilivyo ada umekuwa ni utaratibu kwa watu mbalimbali kutakia heri ya siku ya kuzaliwa hasa baada ya ujio wa mitandao ya kijamii kama Facebook, Twitter na Instagram.
Wachezaji mbalimbali hasa wa Yanga wamemtakia nyota huyo heri ya siku ya kuzaliwa kwa siku yake ya leo.
Soma salam hizo hapa chini;
0 comments:
Post a Comment