Saturday, August 13, 2016

Meneja wa Manchester United Jose Mourinho amesema kwamba timu yake haitakuwa ikishambulia muda wote na kuongeza kwamba haamini kufanya hivyo ni kupoteza utambulisho wa timu.

"Nimekuwa kwenye tasnia ya soka kama meneja tangu mwaka 2001 au zaidi ya hapo, hasa pale nilipokuja England mwaka 2004, niliona Man United kama timu yenye njaa ya ushindi muda wote lakini sio inayoshambulia muda wote," Mourinho aliwaambia waandishi.

"Nimewahi kucheza na Man United mara nyingi tu na walikuwa wakilinda wakati mwingine. Nilicheza nao wakati niko Real Madrid pale Madrid, niliwaona wakivuka eneo la kiungo mara mbili tu na Wayne Rooney alicheza pembeni kumsaidia beki wa kulia.

"Niliwaona mara nyingi tu wakitumia mfumo wa kushambulia, ndiyo, lakini timu ya ushindi inahitaji kufunga magoli mengi kuliko kufungwa.

"Hiyo ndiyo changamoto iliyopo hapa Man United, kujaribu kuwa timu ya ushindi katika kipindi kipya cha Ligi ya England, kitu ambacho ni kigumu sana kuliko hapo awali.

"Unataka kushinda mashindano mbalimbali. Unaweza kucheza vibaya lakini ukapata matokeo na unaweza kucheza vizuri ukapata matokeo pia.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video