Wednesday, August 17, 2016

YANGA na Azam FC leo wanakutana mara ya nne mfululizo kwenye Ngao ya Jamii tangu mwaka 2013 ambapo  katika mechi zote za awali ni Yanga SC waliochomoza kifua mbele dhidi ya Azam. Mwaka 2013 Yanga walishinda 1-0 bao pekee la Salum Telela, aliyeachwa msimu huu na kusajiliwa Ndanda FC ya Mtwara, 2014 walishinda 3-0 Mbrazil Genilson Santana ‘Jaja’ akifunga mabao mawili na mwaka jana walishinda kwa penalti 8-7 baada ya suluhu (0-0) ndani ya dakika 90.
Hapa chini nimekuwekea Takwimu zinazoonesha matokeo ya mechi zote ambazo Yanga na Azam wamekutana kuanzia  Oktoba 17 mwaka 2009.
Unaweza kupata picha halisi ya nini kinaweza kutokea, lakini safari hii Azam FC wanaingia na benchi Jipya la ufundi likajaa makocha kutoka Hispania wakiongozwa na Mkufunzi mkuu, Zeben Hernandez.
Hii ni mechi ya kwanza ya mashindano kwa makocha hao ambao walirithi mikoba ya benchi la ufundi lililokuwa chini ya Muingereza Stewart John Hall.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video