Tunajifunza nini katika ziara ya Arsenal huko Stavanger?
Labda hawahitaji kusajili mshambuliaji kwa sasa. Magoli nane sio jambo dogo.
Siku chache baada ya kusema sasa anataka kucheza winga ya kulia, Theo Walcott jana usiku alianzia eneo hilo katika mechi waliyoshinda 8-0 dhidi ya Viking ambayo ilichezwa SAMI MOKBEL nchini NORWAY
Vikosi
ARSENAL XI (4-2-3-1): Ospina; Debuchy (Bellerin 46mins), Gabriel (Holding 46), Bielik, Gibbs (Akpom 70); Coquelin (Reine-Adelaide 46), Elneny (Zelalem 70); Campbell (Willock 70), Cazorla, Oxlade-Chamberlain (Iwobi 46); Walcott (Monreal 70)
Wacheza wa akiba ambao hawakuingia: Martinez, Cech
Waungaji wa magoli: Campbell 33, 59, Cazorla 50, Walcott 53, Haukas OG 55, Iwobi 71, 81, Akpom 89
Booked: Cazorla
VIKING XI: Austbo; Ryerson (Steen 84), Steiring, Mets (Haukas 46), Haugen; Danielsen, Ibrahim, Sale; Adegbenro, Aasheim, Bringaker
Wachezaji akiba ambao hawakuingia: Pedersen, Sverrisson, Bytyqi, Wichne, Breimyr, Haukas, Kleppa, Kronberg, Heigre, , Hummervoll, Michalsen
0 comments:
Post a Comment