Mchezo wa Nago ya Jamii kati ya Azam na Yanga unapigwa leo kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Mchezo huu unataraji kuoneshwa kwenye king'amuzi cha TING.
Kwa wale watakaohitaji kwenda uwanjani, viingilio vya mchezo huo vitakuwa kama hivi;
-VIP A 20,000 Tshs
-VIP B na C 15,000 Tshs
-mzunguko 5000 Tshs
0 comments:
Post a Comment