Saturday, August 6, 2016

Nyota anayewaniwa kwa udi na uvumba na Manchester United Paul Pogba, ametakiwa kurejea klabuni kwake Juventus mara moja kwaajili ya kujiunga na wenzake tayari kwa maandalizi ya msimu mpya.

Kiungo huyo raia wa Ufaransa, anahusishwa na kujiunga na United kwa ada ya paundi mil 100, huku Mourinho akisisitiza kwamba dili la mchezaji huyo litakamilika rasmi wiki ijayo.

Taarifa zilizoenea zinadai kwamba, Mourinho amemtaka Pogba kusafiri wikiendi hii kwenda jijini Manchester ili kukamilisha taratibu zote za kujiunga na klabu hiyo.

Lakini bosi wa Juventus Massimiliano Allegri amesisitiza kwamba, Pogba anatakiwa kurudi ili kujiunga na wenzake mazoezini .

Allegri amesema: "Mourinho yuko sahihi kusema kwamba hawezi kumzungmzia Pogba kwasababu bado ni mchezaji wa Juventus.

"Nimemwita together pamoja na mwenziwe [Patrice] Evra kuripoti kambini kwaajili ya pre-season kesho usiku, hivyo kwa maana hiyo basi, atakuwa hapa Vinovo Jumatatu asubuhi.

"Haileti maana kwa wakati huu kuzunngumzia juu ya mtu atakayeziba nafasi ya Pogba kwasababu, kwa sasa Pogba bado ni mchezaji wa Juventus."

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video