Thursday, August 4, 2016

Juma Abdul na Amissi Jocelyn Tambwe wakiwa wakionekana na mavazi yasiyo rasmi kwa mazoezi huku wakiwaangalia wenzao wakiendelea na mazoezi leo asubuhi kwenye viwanja vya Gymkhana jijini Dar es Salaa. Taarifa kutoka ndani ya klabu hiyo zinaeleza kuwa wawili hao wameshindwa kushiriki mazoezi na wenzao kutokana kusumbuliwa na majeraha ya misuli. Hata hivyo majeraha hayo si makubwa sana na wanatarajiwa kurudi mazoezini hivi karibuni.
Picha kwa hisani ya Naipenda Yanga.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video