Kwa kiasi fulani aliwafurahisha mashabiki, ambao wamekuwa wakimkosoa kwa kiwango chake ambacho hushuka na kupanda mara kwa mara.
Thabani Kamusoko ni moja ya wachezaji waliovutiwa na kiwango chake cha jana, na kupitia akaunti yake ya Instagram amemuandika maneno mazuri ya kumpa moyo ili aendelee kukazana kwa bidii.
Kamusoko ameandika hivi: "His back at his best form @msuva27 welldone bro."
0 comments:
Post a Comment