![](https://1.bp.blogspot.com/-NFBXXlEr0XA/V7FyM1N9lOI/AAAAAAAAX2A/TblfYWIsHSgOMx9Gl7Ubxssw-PaYhHY5QCLcB/s640/1.jpg)
Kama ilivyoada Wengera anasifika sana kwa ubishi wake juu ya suala la usajili wa wachezaji bora kwenye timu yake licha ya wenzake kuendelea kufanya hivyo kwa kusajili wachezaji wa kiwango cha juu. Timu kama Manchester United, Man City, Chelsea na hata Liverpool wamefanya hivyo.
Sasa kipigo hicho cha jana kimesababisha Edo Kumwembe kuja na hili kuhusu Wenger: "Sikupost kuhusu Simba, sikupost kuhusu Manchester United, sikupost kuhusu chochote.....nilikuwa namuwaza Arsene Wenger....dunia imebakiza watu wachache sana wabishi aiseee. Mungu mlinde Wenger kwa miaka mingi ijayo. Akifa yeye tutabakiza mtu gani mbishi? Mugabe pekee hatoshi."
0 comments:
Post a Comment