Tuesday, August 9, 2016

Paul Pogba akipozi akiwa na jezi ya Manchester United usiku wa kuamkia leo baada ya kukamilisha usajili wake
Manchester United rasmi wamekamilisha usajili wa Paul Pobga kwa dau la paundi milioni 100 ambalo limevunja rekodi ya Dunia.
Kiungo huyo wa Ufaransa sasa ndiye mchezaji mwenye thamani zaidi Duniani. 

Pogba amerejea Manchester United ambako aliondoka mwaka 2012 na sasa anarudi klabuni hapo akitokea Juventus ya Italia.
Pogba, 23, anatarajiwa kuvaa jezi namba 6 na amesaini mkataba wa miaka mitano unaompatia mshahara wa paundi laki mbili na Elfu tisini kwa wiki.
Hata hivyo kuna kipengele cha kuongeza mwaka mmoja zaidi.
The French star is known for his eccentric hairstyles and has this time shaved part of the United club badge into his hairPogba amerejea: Kwanini United wameamua kutangaza usiku wa manane? Hii kidogo inashtua. Lakini sahau kuhusu hilo, Jose Mourinho alisema huu unaweza kuwa usajili wake wa mwisho majira haya ya kiangazi.
With Pogba's signing on the verge of completion, Manchester United tweeted a promotional video from their account
Kwahiyo ni ishu gani nyingine itaizunguka Man United?: Juan Mata anaondoka? Bastian Schweinsteiger  ataweza kukikwepa kikosi cha akiba? Je,  Marcos Rojo atasalimika katika wiki tatu zilizosalia?
Tutaona, lakini sasa jionee kurejea kwa Pogba.
Pogba spoke directly to the camera after revealing himself in a second video and revealed 'I'm back'
Pogba signed the number six onto adidas football's Snapchat, dropping a clear hint about his new squad number at United

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video