Sunday, August 7, 2016

Zlatan Ibrahimovic ameanza mechi yake ya kwanza ya mashindano akiwa na Manchester United na kuifungia goli la ushindi ikiipa ubingwa wa Ngao ya Jamii.



CHINI NA MANENO YA ZLATAN

"Najisikia vizuri. Mechi ya kwanza ya mashindano tumecheza kushindania ubingwa na tumeshinda, hivi ndivyo ilivyo, ni kushinda makombe. Hili ni kombe langu la 31. Nina furaha mno. Hii ndio sababu nimekuja, naamini pengine nimekuja na mengine mengi zaidi ya hili," Ibrahimovic ameiambia BT Sport.

‘Ilikuwa mechi ngumu, tulicheza dhidi ya timu nzuri, mabingwa wa msimu uliopita. Timu yetu inatakiwa kujipanga, ni mwanzo mzuri.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video