Tuesday, August 30, 2016

Kocha wa Asenal Arsene Wenger amemsifu nyota wa mpya wa klabu hiyo Lucas Perez waliyemsajili kutoka klabu ya Deportivo La Coruna ya Uhispania.

Wenger amesema Perez ana uwezo mkubwa wa kufunga vilevile uwezo mkubwa wa kupiga pasi za mwisho.

"Huyu si tu mfungaji, bali ni mchezaji ambaye anaweza kuleta muunganiko mzuri na wenzake, anaweza pia kupiga pasi za mwisho bila kusahau uwezo wake mkubwa wa kujitenegenezea nafasi za kufunga," Wenger ameiambia tovuti ya klabu hiyo.

"Ana jicho la goli na alikuwa na kwenye kiwango bora msimu uliopita."

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video