Wednesday, August 31, 2016


Juma Kaseja ni moja ya makipa waliojijengea heshima kubwa nchini kutokana na umahiri wake langoni.

Amekuwa miongoni mwa makipa wachache waliodumu kwa muda mrefu kwenye kiwango bora hasa pale alipokuwa akiitumikia Simba na baadaye Yanga kabla ya kutua Mbeya City ambayo ndiyo anayoitumikia mpaka sasa.

Kaseja hakuwa nyuma kwenda kuhudhuria kwenye misa ya kumuaga baba wa kipa mwenzie Deogratius Muninshi 'Dida' ikiwa ni pamoja na kumfariji kutokana na msiba huo uliomkumba.

Kupitia akaunti yake ya Instagram, Kaseja amemuandikia Dida ujumbe huu:

"Pole sana kipa, tunakutakia safari njema ya kwenda kumpumzisha mwili wa baba.tupo pamoja katika kipindi kigumu ulichonacho."
A photo posted by Juma Kaseja (@official_juma_kaseja) on

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video