Amekuwa na mahusiano mazuri sana na wachezaji wenzake.
Jana amemtakia mchezaji mwenzake Geoffrey Mwashiuya apone haraka kutokana na kusumbiliwa kwa kipindi kirefu sasa.
Amendika hivi: "I miss this boy in the pitch......namkumbuka mdogo huyu uwanjani....get well soon #Mwashiuya."
0 comments:
Post a Comment