Friday, August 5, 2016

 Nyota wa timu ya Mpira wa Miguu ya Vijana wenye umri wa chini ya miaka 17 – Serengeti Boys wakianya mazoezi Uwanja wa FNB, Johannesburg Afrika Kusini. (Picha na Alfred Lucas wa TFF).

Serengeti Boys wanaendelea na mazoezi ya mwisho mwish kujiandaa na mchezo dhidi ya Afrika Kusini kuwania nafasi ya kushiriki fainali za Kombe la Mataifa kwa vijana wenye umri huo hapo mwakani  nchini Madagascar,
Vijana hao wanaonolewa na kocha Bakari Shime, watakipiga na Afrika Kusini Jumamosi kwenye Uwanja wa Dobsonville, Johannesburg, Afrika Kusini. (Picha na Alfred Lucas wa TFF)
Nyota wa timu ya Mpira wa Miguu ya Vijana wenye umri wa chini ya miaka 17 – Serengeti Boys wakiwa kwenye picha ya pamoja mara baada  mazoezi ya jana katika viwanja vya FNB, Johannesburg Afrika Kusini. (Picha zote na Alfred Lucas wa TFF).
 Kocha msaidizi wa Magolikipa wa Serengeti Juma Kaseja (kushoto) yupo nchini Afrika kusini kuongezea nguvu kwa walindamlango.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video