Tuesday, August 16, 2016

 Mshambuliaji wa Chelsea Diego Costa akimchezea madhambi kipa wa West Ham Adrian baada ya kipa huyo kuchelewa kuundoa mpira huo kwenye hatari kufuatia kurudishiwa na beki wake. Costa alinusurika kupewa kadi nyekundu baada ya hapo awali kuwa na kadi ya njano kabla ya tukio hilo. Costa aliifungia Chelsea goli la ushindi wakati Chelsea ilipoibuka na ushindi wa magoli 2-1.
 Adrian akionesha jeraha hilo.
Akimlalamikia Costa

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video