Tuesday, August 16, 2016

Nguli wa zamani wa Arsenal Ian Wright ameikosoa Arsenal kwa soka lao bovu waliloonesha kwenye mchezo wa ufunguzi dhidi ya Liverpool na kusababisha kupoteza kwa mabao 4-3.
Wright , 52, amerusha lawama zake zote kwa bosi huyo wa Arsenal kwa kutofanya usajili wa maana ilhali timu nyingine kubwa kwa zimefanya usajili wa maana.
Wright amesema: “Kitendo cha Jamie Vardy kukataa kujiunga na Arsenal ni suala la kusikiisha na kuumiza.
“Sasa tumekuwa klabu ambayo imefikia hatua hata Leicester wanatuzuia kuchukua mchezaji! Wakati nilipojiunga na Arsenal, walikuwa wamechukua ubingwa mara mbili. Ni wakati tofauti sana na sasa.
“Kabla ya mchezo dhidi ya Liverpool, nilikuwa nina hofu kubwa kwasababu nilikuwa najua kwamba hakuna cha kunifanya nijiamini.
“Wakati Dennis Bergkamp na Marc Overmars walipojiunga nasi, tulizidi kupata msisimko bila kusahau mashabiki. Usajili huo ulitupa kiburi cha kuoambana na timu yoyote kubwa .”

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video