Klabu ya Simba kupitia ukurasa wake wa Facebook leo imetangaza jezi rasmi zitakazotumika kwenye msimu ujao wa ligi wa 2016/17.
Jezi hizo zitazinduliwa Agosti 8 ambayo itakuwa siku ya Simba Day, na jezi hizo zitaanza kuuzwa punde tu baada ya uzinduzi.
0 comments:
Post a Comment