Sunday, August 7, 2016

Mshambuliaji mpya wa Manchester United, Zlatan Ibrahimovic ameanza vyema msimu mpya wa ligi kuu soka ya England baada ya kuifungia timu yake goli la ushindi katika mechi ambayo Mashetani Wekundu wameshinda mabao 2-1 dhidi ya mabingwa wa England, Leicester City na kubeba kombe la Ngao ya Jamii ikiwa ni kuashiria kuanza kwa msimu mpya wa Mashindano nchini England.
Manchester United chini ya kocha Jose Mourinho walianza kuandika bao la kuongoza dakika ya 32 kupitia kwa Jesse Lingard , lakini dakika ya 52 Jamie Vardy akafuta goli hilo.
Zlatan alifunga goli lake hilo dakika ya 83 na ni la kwanza katika mechi yake ya kwanza akiichezea Man United kwenye  mashindano tangu asajiliwe akitoke PSG ya Ufaransa majira haya ya kiangazi.
Wachezaji wa Manchester United wakishangilia wakati nahodha wao,  Wayne Rooney akinyanyua kombe la Ngao ya Jamii.

HAPA CHINI NI TAKWIMU ZA DAKIKA ZOTE 90

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video