Monday, August 22, 2016

Baada ya kufungia Chelsea goli la ushindi dhidi ya Watford wikiendi, Diego Costa aliamua kusherehekea ushindi pamoja na kuposti picha ya selfie akiwa na kaka yake Jair selfie kwenye ukurasa wake wa Instagram.
Diego Costa alipost picha hiyo na kuonesha namna gani wanafanana na kaka yake.
Kiukweli, isingekuwa kuamua kunyoa ndevu zake, basi ingekuwa vigumu sana kuwatofautisha kulingana na namna walivyofanana.

Jair Costa (kulia) akipiga selfie na kuonesha namna gani walivyofanana na mdogo wake Diego Costa.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video