Paul Pogba ameibua nickname mpya kwa mchezaji mwenzake wa Manchester United Zlatan Ibrahimovic ambayo inamfiti kwelikweli.
Wawili hao ni kati ya wachezaji wenye majina makubwa kusajiliwa msimu kwenye ligi ya England.
Waliwahi kuonekana pamoja Los Angeles mwanzoni kabisa mwa majira ya kiangazi, kabla ya usajili wa Pogba kwenda Man United haujafanyika, na jana sasa Pogba ameamua kushea kumbukumbu ya picha waliyopiga wakati walipokutana kupitia Instagram yake.
Ameandika hivi: "THOR Throwback to Los Angeles with Thooor."
Thor maana yake ni the God of thunder, the weather, agriculture, and the home, the son of Odin and Freya (Frigga). Thursday is named after him.
0 comments:
Post a Comment