Monday, August 8, 2016

Hatimaye baada ya kusubiriwa kwa muda mrefu, Paul Pogba ametua jijini Manchester kupima afya kwa ajili ya kusajiliwa na Manchester United kwa dau linalokwenda kuvunja rekodi ya dunia la Euro milioni 110 akitokea klabu ya Juventus ya Italia.  
Kurejea kwa Mfaransa huyo Old Trafford imekuwa stori kubwa ya usajili majira haya ya kiangazi, lakini sasa amewasili na alipotua ameendeshwa akiwa kwenye gari kuelekea Aon Training Complex kuchukua vipimo vya Afya.
France midfielder Pogba is all smiles as his £110million move from Juventus moves ever closer
Pogba tayari yupo Mjini Manchester
Pogba was driven to United's training complex before early on Monday afternoon
Pogba akiendeshwa kuelekea kupima afya mchana wa leo

Pogba was pictured arriving in Manchester as he ties up his world record transfer deal
Pogba alipigwa picha akiwasili Manchester 
The France midfielder had jetted in from New York to move back to his former club
Mfaransa huyo ametua na ndege akitokea  New York 

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video