BAADA ya kushuhudia Mabingwa watetezi, Leicester City wakianza Ligi kuu ya England kwa kichapo, michezo mingine mitano (5) imemalizika.
Everton wakiwa uwanjani kwao Goodison Park wamelazimishwa sare ya 1-1 dhidi ya Watukutu wa London, Tottenham Hospur.

Ross Barkley ndiye aliwafungia bao la kuongoza Everton katika
dakika ya 6', lakini Erik Lamela akasawazisha dakika ya 60.
MATOKEO MENGINE YOTE
HAYA HAPA:
Mechi iliyosalia ni kati ya Manchester City dhidi ya Sunderland uwanjani Etihad na itaanza saa moja na nusu usiku huu kwa saa za Afrika Mashariki.
MSIMAMO UNAONEKANA HIVI:

0 comments:
Post a Comment