"Salaam.
Leo tarehe 2-8-2016 natarajiwa kuanza rasmi kazi.nawashukuru sana kwa sala na dua zenu na nimefarijika sana kwa kila mlichonijaalia.kwangu hakuna kidogo..
Kwa sasa hali yangu imeimarika vya kutosha.na lazma maisha yaendelee.
Asanteni sana my people for every thing.
Mungu endelea kutubariki,"
0 comments:
Post a Comment