GRAPHIC: SIMBA KUFUNGUA DIMBA VPL, CHEKI RATIBA YA WIKIENDI HII Wekundu wa Msimbazi, Simba SC, jioni ya leo wanafungua pazia la Ligi kuu ya Kandanda ya Tanzania Bara kwa kuwavaa Ndanda FC, Uwanja wa Taifa Dar es salaam. Hapa chini ni Ratiba ya wikiendi hii ya VPL:
0 comments:
Post a Comment